Picha za Vichekesho – Mpenzi wako anatafuna kama yupi kati ya hawa

SOMA KICHEKESHO HIKI HAPA http://vichekesho.tanzaniasite.com/2013/05/13/picha-za-vichekesho-mpenzi-wako-anatafuna-kama-yupi-kati-ya-hawa/

VICHEKESHO HIVI VYOTE NA VIPYA VINAENDELEA KUCHAPISHWA KATIKA TOVUTI YETU YA http://vichekesho.tanzaniasite.com/

USIKOSE KUJISAJILI UPYA ILI KUENDELEA KUPATA VICHEKESHO KWA EMAIL

Picha za vichekesho – Mtoto wa mchekeshaji maarufu Mr. Bean

SOMA KICHEKESHO HIKI HAPA

 http://vichekesho.tanzaniasite.com/2013/03/10/picha-za-vichekesho-mtoto-wa-mchekeshaji-maarufu-mr-bean/

VICHEKESHO HIVI VYOTE NA VIPYA VINAENDELEA KUCHAPISHWA KATIKA TOVUTI YETU YA http://vichekesho.tanzaniasite.com/

USIKOSE KUJISAJILI UPYA ILI KUENDELEA KUPATA VICHEKESHO KWA EMAIL

VICHEKESHO KWA EMAIL

{Vichekesho} TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, watoto wangu

SOMA KICHEKESHO HIKI HAPA

 http://vichekesho.tanzaniasite.com/2013/03/06/vichekesho-tv-yangu-gari-yangu-chumbani-kwangu-watoto-wangu/

VICHEKESHO HIVI VYOTE NA VIPYA VINAENDELEA KUCHAPISHWA KATIKA TOVUTI YETU YA http://vichekesho.tanzaniasite.com/

USIKOSE KUJISAJILI UPYA ILI KUENDELEA KUPATA VICHEKESHO KWA EMAIL

VICHEKESHO KWA EMAIL

Vichekesho vya mapenzi

Habari ndugu zangu, tumekuwa tukifurahi kwa vichekesho vyetu vya kila siku visivyokauka katika blog yetu. na mngependa mfurahi zaidi. tunajitahidi kuongeza ubunifu ili tucheke kwa vichekesho na kufurahi zaidi.

Kuna wengi wanapenda “vichekesho vya mapenzi“, najua na leo nawapa listi ya “vichekesho vya mapenzi” vilivyopata kupendwa. Hakikisha unavisoma vichekesho vyote na uondoe stress na mawazo.

Pia usikose kusabskraib (kutupatia email yako ili tukutumie kila kichekesho kipya katika email yako). Hii ni rahisi na inawafanya wapenda vichekesho wawe wanacheka wakati wote. Kupokea hivyo vichekesho angalia sehemu iliyoandikwa “Fatilia kwa email” kisha ingiza email yako hapo.

Haya hivi ndivyo baadhi ya “vichekesho vya mapenzi “utakavyovifurahia;

Nimshike wapi mke wangu achanganyikiwe?

Happy Birthday

Pombe badala ya wanawake

Mbinguni kwa baba

Nimewapisha wazazi wako walale

 

Nimshike wapi mke wangu achanganyikiwe

Wiki iliyopita Ray alienda kwa daktari wa saikolojia ya mahusiano kumuona daktari katika harakati za kutaka kuimarisha ndoa yake. Ray akaanza kuuliza cha kufanya

Ray: Dokta, nataka nimshike mke wangu sehemu ambayo itamfanya achanganyikiwe Continue reading

Nimewapisha wazazi wako walale

Mume alichelewa kurud nyumbani kwake kama kawaida yake akapitiliza mpaka chumbani alipofka kitandan akagusa kitandani kwenye shuka ndipo alipogusa miguu minne badala ya miwili aliyozoea siku zote,akatoka taratibu aliporud alirud na rungu akawatandika miguuni kwa hasra akatoka mpaka sebulen kutuliza hasra hapo ndipo alipomkuta mkewe kalala na mke kumwambia mume wangu chumbani nimepisha wazaz wako walale wamekuja leo kutusalimia…

Aliyetoa kichekesho hiki ni Mau Ramei

Kikongwe na familia yake

Kikongwe mmoja mwenye watoto 7 wote wanaishindani ya nyumba yake. Yule kikongwe alikuwa anatibiwa tatizo la masikio (hasikii). Baada ya mwezi mmoja wa matibabu akaenda kumuona dokta kama kawaida yake na yule daktari wake akamwambia “sasa hivi unasikia vyema sana, familia yako watafurahi sana kuwa umepona” Yule kikongwe akajibu “kipindi chote hiki cha mwezi mmoja nilikuwa nacheka sana mambo yanayotokea mule ndani, nasikia yote wanayozungumza yote lakini sijawaambia kama nasikia, huwezi kuamini kuwa ndani ya mwezi mmoja huu nimeshabadilisha wosia wangu zaidi ya maratatu