{Vichekesho} Unatumia whatsApp?


Kuna kaka mmoja alimchukua dada mmoja na kwenda nae katika kioksi kwa ajili ya mazungumzo. Walipofika na kukaa tu katika vitu yule kaka akamuuliza yule dada, “unatumia whatsapp”, yule dada akajibu majestikale kabisa , “ndio natumia sasa sana za baridi, nimeachana na bavaria siku hizi..”

13 comments on “{Vichekesho} Unatumia whatsApp?

  1. Jameni kusipo juwa kuleta shida na labda kaka huyo kasahawu kumununuliya kinywaji naye dada alikuwa nakiwu. Ningewasi mbele ya yote muulize mweziyo anataka nini mbele ya mambo ao maneno. Hahahahaaaaaaaaaaaaha

  2. Pingback: {Vichekesho} Unatumia whatsApp?

Leave a reply to nurdin yusufu Cancel reply