Vichekesho vya mapenzi


Habari ndugu zangu, tumekuwa tukifurahi kwa vichekesho vyetu vya kila siku visivyokauka katika blog yetu. na mngependa mfurahi zaidi. tunajitahidi kuongeza ubunifu ili tucheke kwa vichekesho na kufurahi zaidi.

Kuna wengi wanapenda “vichekesho vya mapenzi“, najua na leo nawapa listi ya “vichekesho vya mapenzi” vilivyopata kupendwa. Hakikisha unavisoma vichekesho vyote na uondoe stress na mawazo.

Pia usikose kusabskraib (kutupatia email yako ili tukutumie kila kichekesho kipya katika email yako). Hii ni rahisi na inawafanya wapenda vichekesho wawe wanacheka wakati wote. Kupokea hivyo vichekesho angalia sehemu iliyoandikwa “Fatilia kwa email” kisha ingiza email yako hapo.

Haya hivi ndivyo baadhi ya “vichekesho vya mapenzi “utakavyovifurahia;

Nimshike wapi mke wangu achanganyikiwe?

Happy Birthday

Pombe badala ya wanawake

Mbinguni kwa baba

Nimewapisha wazazi wako walale

 

45 comments on “Vichekesho vya mapenzi

    • Kama unataka kupokea vichekesho katika email yako na kujua kila kichekesho kipya kinapopostiwa mdau unatakiwa kuingiza email address yako katika sehemu ya “Fuatilia kwa email” iliyopo upande wako wa kulia chini. ahsante kwa sapoti

    • tazama upande wako wa kulia katika blog hii utaona sehemu iliyoandikwa “fuatilia kwa email”, weka email yako hapo kisha kliki hicho kitufe cha chini yake na utaanza kucheka pekeyako kama chizi kila ufunguapo email yako

    • Ili kupokea vichekesho vyote katika email yako tazama upande wako wa kulia katika blog hii utaona sehemu iliyoandikwa “fuatilia kwa email”, weka email yako hapo kisha kliki hicho kitufe cha chini yake na utaanza kucheka pekeyako kama chizi kila ufunguapo email yako

    • ni rahisi, ingiza email yako upande wa kulia kuna sehemu imeandikwa fatilia kwa email, kisha utavipata kwa email. tunashukuru kwa kuvutiwa na vichekesho vyetu

Leave a Reply to JACKSON SUNGO Cancel reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s