Jamaa alivyojichanganya katika usafiri wa daladala


Kuna jamaa 1 alipanda daladala mfukoni akiwa na shiling miatano tu! lakini daladala ilikuwa imejaa yaani walikuwa wamebanana ile mbaya, sasa imefikia wakat konda anataka hela alipofika kwa jamaa, jamaa anajibanabana huku anatoa hela mfukoni, jamaa… anampa hela konda kumbe sh.10000, jamaa akashangaa akasema asante mungu yaan kama maajabu, akachukua chenji na kurudisha uleule mfuko, kwa furaha jamaa akashukia kituo cha nyuma kabla ya kituo alichokua anenda. jamaa akatoa hela mfukon anatoa sh.500. kumbe jamaa wakat anatoa hela mfukon ilikuwa ni mfuko wa abiria wa pembeni yake alivyopewa chenji aliirudishia mfuko uleule.

Mwenye kichekesho

Athumani Juma Kimbo

Nawe unaweza kutoa kichekesho chako kwa kupost katika facebook page yetu:

Cheka-Vichekesho na Vunja mbavu

Vichekesho vingine:

Utaenda jela siku nne

Naomba senti moja … Nisubiri dakika moja

Mateja na embe dodo

One comment on “Jamaa alivyojichanganya katika usafiri wa daladala

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s