Nimshike wapi mke wangu achanganyikiwe


Wiki iliyopita Ray alienda kwa daktari wa saikolojia ya mahusiano kumuona daktari katika harakati za kutaka kuimarisha ndoa yake. Ray akaanza kuuliza cha kufanya

Ray: Dokta, nataka nimshike mke wangu sehemu ambayo itamfanya achanganyikiwe

Daktari: Ni rahisi sana, njoo na mkeo, tutamfanyia upasuaji wa kichwa, tutafunua kichwa chake kisha utagusa ubongo wake

27 comments on “Nimshike wapi mke wangu achanganyikiwe

  1. Pingback: Vichekesho vya mapenzi | Cheka Vichekesho

Leave a Reply to jackline benson Cancel reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s