Wiki iliyopita Ray alienda kwa daktari wa saikolojia ya mahusiano kumuona daktari katika harakati za kutaka kuimarisha ndoa yake. Ray akaanza kuuliza cha kufanya
Ray: Dokta, nataka nimshike mke wangu sehemu ambayo itamfanya achanganyikiwe
Daktari: Ni rahisi sana, njoo na mkeo, tutamfanyia upasuaji wa kichwa, tutafunua kichwa chake kisha utagusa ubongo wake
mko juu kazeni buti
mnatisha!
hahaha…hi kal
duuuh! hiyo noma, angempeleka kwa wa kienyeji…
hiyo ni kali
mnatisha sana chapa kazi
nimeipenda
Nakubal
Pamoja wakuu
Je asiamka itakuaje maana madaktari wetu nao hawaaminiki
Dah uyo dactar nouma kwel.
hiyo noumaaaa
Kwel hatuna madaktar kabisa.
Vinafurahisha sana
Tehe!tehe!tehe!
Hahahaaaa, noma kweli
safi sana,tufurahi pa1.
ni hatari maisha jaman
BIG UP SANA WAKUU
hhhii no noma
i like it
ATARI XNA
napenda sana vichekesho na leo nimecheka mpaka mbavu zimebiuma.
Pingback: Vichekesho vya mapenzi | Cheka Vichekesho
teh teh teh
madokta wanoko xana, naye mtemi anauliza amshike wap mtoi wake! hey angemxhka chuchu tu apo atamchanganya bt io qal xana biggup kwa xana mkaliwaoo!!
d uuuuuu hatar