Mbinguni kwa baba


Wazee wawili mke na mume walipata ajali ya gari na kufariki. Kisha wakajikuta wapo na Mtakatifu Peter mbinguni akiwapa utambulisho (orientation) wa mazingira ya mbinguni. Mtakatifu Peter akawa anawaongoza na kuwalezea maeneo mbalimbali;

Mtakatifu Peter: Hili ndio jumba lenu la kifakhari limejengwa kwa Tanzanaiti, na hii ndio bichi yenu, pale ndani kuna magari 100 ya kifakhari lakini ni Nissan sio Toyota, Wale mabinti na wanaume elfu moja ni watumishi wenu. Huku nyuma kuna uwanja wa tenesi na mpira wa kikapu. Pia kama mkijisikia kujivinjari kidogo kila baada ya nyumba kuna baa kwa ajili yenu. Mimi naenda mkiwa na tatizo lolote mtanicheki katika namba yangu ya Voda, tigo huwa inasumbua some time.

Mtakatifu Peter akamaliza kisha akawapa business kadi yake na akaondoka. Wakati anaondoka yule mzee akamwambia mkewe;

Mzee: Laiti kama ningekuwa situmii mpira kwa rafiki zako na wafanyakazi wenzangu na mitaa ya Buguruni na Ohio tungekuwa tumeshakuja huku kama miaka ishirini iliyopita hivi

Enhanced by Zemanta

6 comments on “Mbinguni kwa baba

  1. kwa kweli hivi vichekesho vinachekesha sana ,iluyo nifurahisha zaidi ni ya” happy birthday”big up xana uliyetuma hicho kichekesho.by
    alice makombe froma Iringa,mafinga

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s